Posts

Showing posts from February 24, 2018

Mabadiliko ya wapenzi yaliyogusa nyoyo za wengi Kenya

Image
Kwa wengi, mwezi wa Februari ambao kawaida umekuwa ukihusishwa na mapenzi unakaribia kufikia ukingoni, na wengi wameanza kuisahau Siku ya Wapendanao. Kwa Samuel Githae na Zipporah Njeri, siku hii maarufu kwa upendo ilikuwa mwanzo wa matukio ambayo yamechangia kuinuliwa kwao kutoka kwa maisha ya kutotambuliwa mjini hadi kuwa watu mashuhuri. Wamekuwa bila makao rasmi, wakilala barabarani, kwenye vituo vya filamu na wakati mwingine katika nyumba za marafiki zao. Lakini sasa watahamia katika nyumba mpya rasmi Jumamosi, ambayo wamelipiwa kodi na mhisani. Isitoshe, wataabiri ndege kwa mara ya kwanza kwenda likizoni katika hoteli moja ya ufukweni pwani ya Kenya wiki ijayo. "Siamini kwamba nitapanda ndege," Njeri aliambia BBC, akionekana mwenye furaha, akipigapiga mikono kama ndege anayejiandaa kupaa. Yote yalianza kutokana na wazo la mpiga picha Johnson Muchiri kutoka kwa kampuni ya Muchiri Frames, na wafanyakazi wenzake, kutaka kufanya jambo la kipekee. Jacinta N

Kenya, Tanzania zapata 'muarubaini' wa kero zao

Image
Marais wa Kenya na Tanzania wameahidi kuboresha ushirikiano uliopo kati ya nchi zao na kuamrisha mawaziri wao kutafuta ufumbuzi juu ya masuala madogo madogo yanayojitokeza. Marais hao wamesema kuwa biashara iliyoko inafanyika bila vikwazo vyovyote na hivyo kuagiza tofauti zilizojitokeza katika baadhi ya bidhaa zimalizwe. "Kuna mambo madogo madogo yanajitokeza katika biashara kati ya Kenya na Tanzania, tunataka kwa haya yote Mawaziri wa Kenya na Mawaziri wa Tanzania mkae myatatue, sisi hatuna tatizo, mambo mengine madogo madogo mno, mambo ya viatu, nguo, ngano, gesi ni madogo sana, mnatakiwa myatatue nyinyi yasifike kwetu, sisi huku tuko sawa sawa" amesema Dkt Magufuli, tamko ambalo limeungwa mkono na Rais Kenyatta. Mazungumzo hayo yamejiri baada ya kukutana nchini Uganda ambapo Rais Uhuru Kenyatta na Rais John Magufuli wamewaagiza mawaziri wao kuyatafutia ufumbuzi masuala yenye kero ndogo ndogo ambazo hujitokeza kwenye maeneo ya biashara kati ya nchi hizo. M

Shambulizi la al-Shabaab laua watu 18

Image
Magari mawili yenye mabomu yameripuka katika mji mkuu wa Somalia Ijumaa na kuuwa watu 18 na wengine 20 kujeruhiwa, idara ya huduma za ambulance imesema. Wakati huohuo kikundi cha al-Shabaab kimedai kuhusika na shambulizi hilo, shirika la habari la Reuters limeripoti. Wakati wa mlipuko huo kulikuwa na mashambulizi ya bunduki karibu na ikulu ya rais, idara hiyo imesema. “Mpaka sasa tumeipata miili 18 ya watu waliouwawa na wengine waliojeruhiwa kutoka katika eneo la shambulizi usiku huu,” Abdikadir Abdirahma, mkurugenzi wa huduma za ambulance za Amin ameiambia Reuters. Wingu kubwa la moshi lilitanda karibu na ikulu na mapambano ya kutupiana risasi yalizuka karibu na jumba hilo, mtu aliyekaririwa na Reuters amesema ameshuhudia hilo. Polisi na mashuhuda wa tukio hilo wamesema bomu la pili lililipuka kutoka katika gari ambalo lilikuwa limeegeshwa mbele ya hoteli mbali kidogo na ikulu ya rais. Polisi wamesema bomu la kwanza lililipuka baada ya washukiwa wa kikundi cha al

Watawala wanataka nchi yetu irudi kwenye chama kimoja

Image
Saa chache baada ya Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT- Wazalendo), Zitto Kabwe kuachiwa kwa dhamana, polisi imesema ilimkamata na kumuweka mahabusu kwa kuwa walifanya mkutano wa hadhara bila kuwa na kibali. Wakati polisi ikieleza hayo, baada ya kuachiwa Zitto ameeleza aliyoyakuta mahabusu jambo lililomlazimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei kutoa ufafanuzi. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Februari 23, 2018 Kamanda Matei amesema Zitto alikamatwa jana, Februari 22 saa 11 jioni katika Kijiji cha Mhale, Wilaya ya Mvomero akiwa anafanya mkutano wa hadhara. Kamanda Matei amesema Zitto anashtakiwa kwa kifungu 74 na 75 vya kanuni ya adhabu kwa kufanya mkutano bila kibali. Kamanda huyo amesema awali Zitto alikuwa akifanya mkutano wa ndani, lakini baadaye wananchi walijaa nje na ndipo alipotoka kuwahutubia. Zitto ameachiwa kwa dhamana na kutakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi cha mkoani Morogoro, Machi 12, 2018. Hata hivyo, Zitto akizungumza na waandishi w

Umoja wa Ulaya watoa tamko mauaji, utekaji nchini

Image
Umoja wa Ulaya (EU) umetoa tamko kuhusu matukio ya utekaji na mauaji yanayotokea nchini, ukiitaka Serikali kufanya uchunguzi wa kina. Taarifa ya umoja huo uliyotolewa leo Februari 23, 2018 inaeleza kuwa imetolewa na ushirikiano wa mabalozi wa nchi wanachama wa umoja huo wenye uwakilishi Tanzania na kuungwa mkono na mwakilishi na mabalozi wa Norway, Canada na Uswisi. Yasema matukio hayo yanatishia nidhamu ya kidemokrasia na haki za Watanzania. “Tunashuhudia kwa wasiwasi mwendelezo wa matukio ya hivi karibuni yanayotishia nidhamu ya kidemokrasia na haki za Watanzania, katika nchi iliyojizolea umaarufu mkubwa duniani kwa utulivu, amani na uhuru.” “Tumesikitishwa na kifo cha mwanafunzi aliyepigwa risasi mwisho wa juma lililopita Akwilina Akwilini, anayeombolezwa nchi nzima. Tunakaribisha wito wa Rais John Magufuli wa uchunguzi wa haraka,” inaeleza taarifa hiyo. Katika taarifa hiyo EU imetoa wito wa uchunguzi wa kina kwa vifo vyote vya wanaharakati wa kisiasa na haki za binadamu.

World's fishing fleets mapped from orbit

Image
It's another demonstration of the power of Big Data - of mining a huge batch of statistics to see patterns of behavior that were simply not apparent before. Computers have crunched 22 billion identification messages transmitted by sea-going vessels to map fishing activity around the globe. The analysis reveals that more than 55% of the world's oceans are subject to industrial exploitation. By area, fishing's footprint is now over four times that of agriculture. That's an astonishing observation given that fisheries provide only 1.2% of global caloric production for human food consumption. The investigation shows clearly that the biggest influences on this activity are not environmental - whether it is summer or winter, or whether there is an El NiƱo or fish are migrating, for example. Rather, the major controlling factors are very largely political and cultural. "You'd think that fishing activity would follow some natural pulse of the seasons, b

Joanna Demafelis: Employer of Filipina maid found dead in freezer arrested

Image
Police have arrested the employer of a Filipina maid found dead in a freezer in Kuwait after a weeks-long manhunt. Joanna Demafelis, 29, was found frozen in her employers' apartment more than a year after she was reported missing. Nader Essam Assaf was arrested in Lebanon on suspicion of murder, the Philippines department of foreign affairs said on Friday. Ms Demafelis's death prompted outrage in the Philippines and a ban on Filipinos travelling to work in Kuwait. Mr Assaf, a Lebanese national, was arrested in his home country, the Philippines department of foreign affairs said in a statement. His Syrian wife Mona, who is also a suspect, remains on the run, and is believed to be in Syria, it added. Both suspects were the subject of an international manhunt aided by Interpol. Philippines foreign secretary Alan Peter Cayetano welcomed the news, calling it a "critical first step in our quest for justice for Joanna". Philippines stops workers going to

Trump-Russia: Manafort 'paid European ex-politicians'

Image
Ex-Trump campaign manager Paul Manafort secretly paid unnamed former senior European politicians to lobby for Ukraine's previous pro-Russia government, a new indictment filed by special counsel Robert Mueller says. Mr Manafort paid over €2m ($2.5m; £1.8m) to the ex-politicians, it says. He has maintained his innocence in the face of Mr Mueller's investigations. Mr Trump's ex-deputy campaign manager, Rick Gates, has admitted conspiracy and lying to investigators in a plea deal. Mr Mueller is investigating claims of Russian political meddling in the US. There are no allegations that either man colluded with Russia to influence the outcome of the 2016 presidential election, which is the main thrust of the justice department investigation. Trump Russia affair: Key questions answered Who's who in Russia scandal? The Trump-Russia saga in 200 words What are the latest allegations against Mr Manafort? Previously,  Mr Manafort was charged with multiple count

GOODBYE AKWILINA

Image
SAFARI njema Akwilina, kwaheri, tangulia mtoto wetu tutaonana, wanadamu wote njia yatu ni moja. Hizo ni baadhi ya kauli zilizosikika kutoka kwa maelfu ya waombolezaji, wakiwamo wanafunzi wa vyuo mbalimbali na wananchi wa Dar es Salaam, waliojitokeza kuaga mwili wa Akwilina Akwilini (22). Akwilina alikuwa mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji (NIT), aliyeuawa Februari 16, mwaka huu kwa kupigwa kichwani na kitu kinachodhaniwa ni risasi, inayodaiwa kufyatuliwa na askari aliyekuwa akitawanya maandamano ya wafuasi wa Chadema. Jana maelfu ya waombolezaji walijitokeza kuaga mwili wa Akwilina, huku baadhi walishindwa kujizuia na kuzimia wakati mwili ukiingia katika uwanja wa chuo cha NIT ukitokea Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ulikokuwa umeifadhiwa. Pia wengine waliokosa nafasi ya kutoa maneno yao kwa kuzungumza mbele ya umati huo, walionekana kubeba mabango yaliyoshinikiza Serikali kufanya utafiti ili haki itendeke na waliokatisha maisha ya Akwilina aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka