Posts

Showing posts with the label news

Maaskofu waonya kuhusu Umoja na amani ya Tanzania

Image
Baraza la maaskofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri chini Tanzania (KKKT) linasema umoja na amani ya Tanzania viko hatarini. Katika waraka wa ujumbe wa pasaka unaosambaa katika mitandao ya kijamii na kutarajiwa kusomwa kesho katika makanisa mbali mbali ya KKKT nchini Tanzania, baraza hilo limeorodhesha mambo kadhaa ambayo wameyataja kuwa ndio tishio la umoja na amani ya nchi hiyo. Waraka umeyataja baadhi ya mambo hayo kuwa ni pamoja na utekaji, utesaji, kupotea kwa watu, mashambulizi ya silaha dhidi ya viongozi wa kisiasa, mauaji yenye mwelekeo wa kiitikadi, vitisho, ubambikiziaji wa kesi, na matumizi mabaya ya vyombo vya dola dhidi ya wananchi. "Kukosekana kwa mazingira ya haki na uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa katika chaguzi mbalimbali. Chaguzi zote zimeghubikwa na ubabe, vurugu, hila, na vitisho", imesomeka sehemu ya waraka huo Waraka umeongeza pia kwamba uhuru wa kujieleza, kutoa na kupokea habari umeendelea kutoweka nchini huku ukionya kubanwa na ha...

Ujumbe wa Kwaresima 2018 kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania

Image
Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu ndiyo kauli mbiu inayoongoza ujumbe wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kwa mwaka 2018. Ni ujumbe unaozingatia matukio makuu matatu: Jubilei ya Miaka 150 ya Ukristo Tanzania Bara, Miaka 50 ya Tamko la Maaskofu kuhusu Mwelekeo na Hatima ya Tanzania na Maandalizi ya Uchaguzi wa viongozi wa Serikali za mitaa utakaofanyika mwaka 2019. Wapendwa Familia ya Mungu, Na Watu Wote wenye Mapenzi Mema,  “Neema na iwe kwenu, na amani zitokazo kwa Mungu, Baba yetu” (Kol 1:2). Utangulizi Kama ilivyo ada ya Wakristo pote ulimwenguni, kwa kipindi cha siku arobaini kabla ya kuadhimisha Jumapili ya Ufufuko wa Bwana Wetu Yesu Kristo, Wakristo hutumia muda huo kufunga, kufanya toba na kufanya matendo ya huruma kwa wote wenye mahitaji huku wakijitafakari kuhusu uhalisia wa hali yao ya kuwa ni wenye dhambi mbele ya Mungu, ili waweze kufanya toba ya kweli na yenye mageuzi na wongofu katika maisha. Mwaka huu kipindi hiki, kijulikanacho ...

BONGO FLEVA HISTORY:MUSIC FROM TANZANIA

Image
The term "bongo flava" was coined and first mentioned in 1996 by Radio One's 99.6 FM (one of the first private radio stations in Tanzania) Radio Dj Mike Mhagama who was trying to differentiate between American R & B and hip hop music through his popular radio show known as 'DJ Show' with that of local youngsters music that didn't have, at that time, an identity of its own. DJ Show was the first radio show that accepted young Tanzanian musicians influenced by American music to express themselves through singing and rapping. He said on air, "After listening to "R & B Flava" titled 'No Diggity' from the United States, here comes "Bongo Flava" from Unique Sisters, one of our own." After he said that on the show, the term "Bongo Flava" stuck. The earliest and most reliable account of how "Bongo flava" found its way onto Tanzanian airways has Taji Luindi at the heart of the story. Ta...

NEWS:Cambridge Analytica: Facebook data row academic says he is 'scapegoat'

Image
An academic who created an app which harvested data from 50 million users says he has been made "a scapegoat" for Facebook and Cambridge Analytica. Dr Aleksandr Kogan completed work for Cambridge Analytica in 2014, but said he had no idea the data would be used to benefit Donald Trump's campaign. The psychology academic said he wanted the data so he could model human behaviour through social media. Facebook says Dr Kogan violated the site's policies. The Cambridge University researcher developed a personality survey called This is Your Digital Life. About 270,000 users' data was collected, but the app also collected some public data from users' friends. Cambridge Analytica whistleblower Christopher Wylie said that, as a result, the data of about 50 million users was harvested for the analysis firm. Dr Kogan said he was "stunned" by the allegations made against him as he was advised the app was entirely legal. He said: "...

Mbowe kukinukisha kwa madiwani Chadema waliohamia CCM

Image
Dar es Salaam. Wakati madiwani wa Chadema wakiendelea kuhamia CCM, viongozi wakuu wawili wa chama hicho wametoa sababu za wanasiasa hao kufanya hivyo. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema madiwani hao wanahama kwa sababu walitarajia kupata masilahi binafsi ambayo wameyakosa. “Waliojiunga na Chadema kufuata masilahi wamekuta hakuna, hapa ni wito, ndiyo hao wameondoka,” alisema. Wakati Mbowe akisema hayo, katibu mkuu wake, Vincent Mashinji amedai makada hao wanahama kwa ahadi ya kulipiwa mikopo wanayodaiwa kwenye taasisi za fedha. “Baadhi ya madiwani walikuwa wanadaiwa mikopo na taasisi za fedha, sasa wamelipiwa baada ya kununuliwa,” alisema. Kauli za viongozi hao zimekuja siku moja baada ya diwani wa Chadema, Kata ya Kaloleni mkoa ni Arusha, Emmanuel Kessy kujiuzulu juzi saa sita usiku na kujiunga na CCM huku akitoa sababu tatu za uamuzi huo. Kessy ambaye anakuwa diwani wa 22 kuhama chama hicho mkoani Arusha alitaja sababu hizo kuwa ni kumuunga mkono Rais Jo...