Posts

NEWS..Saudi king replaces military chiefs in shake-up

Image
Add caption Image copyright GETTY IMAGES Image caption King Salman (C) acceded to the throne in 2015 Saudi Arabia has sacked its top military commanders, including the chief of staff, in a series of late-night royal decrees. Saudi King Salman also replaced the heads of the ground forces and air defences. The news was published by the official Saudi Press Agency (SPA), but no reason for the sackings was given. They come as the war in Yemen, where a Saudi-led coalition is fighting rebels, is nearing the end of its third year. Crown Prince Mohammed bin Salman, who is also the defence minister, is believed to be behind various recent shake-ups in the country. Last year dozens of prominent Saudi figures, including princes, ministers and billionaires, were locked up in Riyadh's five-star Ritz-Carlton hotel as  the prince led a drive against corruption and abuse of power . Image copyright REUTERS Image caption The Saudi-led coalition intervened in Yemen in March 2015

South Africa: Ramaphosa stamps mark with cabinet reshuffle

Image
New South African President Cyril Ramaphosa has announced his cabinet, making substantial changes to ministerial positions. He reappointed Nhlanhla Nene as finance minister, reversing his sacking by the former President Jacob Zuma. Mr Zuma, who is facing charges of corruption, was forced to stand down earlier this month by his own party. Mr Ramaphosa took over, promising a "new dawn" for the country and pledging to be tough on corruption. "In making these changes, I have been conscious of the need to balance continuity and stability with the need for renewal, economic recovery and accelerated transformation," Ramaphosa said, while announcing the appointments in Pretoria on Monday night. He kept several ministers appointed by his predecessor, but other former allies of the former president were demoted or lost their jobs. Media caption Cheers and song as Ramaphosa elected South Africa president David Mabuzza, the deputy president of th

Mabadiliko ya wapenzi yaliyogusa nyoyo za wengi Kenya

Image
Kwa wengi, mwezi wa Februari ambao kawaida umekuwa ukihusishwa na mapenzi unakaribia kufikia ukingoni, na wengi wameanza kuisahau Siku ya Wapendanao. Kwa Samuel Githae na Zipporah Njeri, siku hii maarufu kwa upendo ilikuwa mwanzo wa matukio ambayo yamechangia kuinuliwa kwao kutoka kwa maisha ya kutotambuliwa mjini hadi kuwa watu mashuhuri. Wamekuwa bila makao rasmi, wakilala barabarani, kwenye vituo vya filamu na wakati mwingine katika nyumba za marafiki zao. Lakini sasa watahamia katika nyumba mpya rasmi Jumamosi, ambayo wamelipiwa kodi na mhisani. Isitoshe, wataabiri ndege kwa mara ya kwanza kwenda likizoni katika hoteli moja ya ufukweni pwani ya Kenya wiki ijayo. "Siamini kwamba nitapanda ndege," Njeri aliambia BBC, akionekana mwenye furaha, akipigapiga mikono kama ndege anayejiandaa kupaa. Yote yalianza kutokana na wazo la mpiga picha Johnson Muchiri kutoka kwa kampuni ya Muchiri Frames, na wafanyakazi wenzake, kutaka kufanya jambo la kipekee. Jacinta N

Kenya, Tanzania zapata 'muarubaini' wa kero zao

Image
Marais wa Kenya na Tanzania wameahidi kuboresha ushirikiano uliopo kati ya nchi zao na kuamrisha mawaziri wao kutafuta ufumbuzi juu ya masuala madogo madogo yanayojitokeza. Marais hao wamesema kuwa biashara iliyoko inafanyika bila vikwazo vyovyote na hivyo kuagiza tofauti zilizojitokeza katika baadhi ya bidhaa zimalizwe. "Kuna mambo madogo madogo yanajitokeza katika biashara kati ya Kenya na Tanzania, tunataka kwa haya yote Mawaziri wa Kenya na Mawaziri wa Tanzania mkae myatatue, sisi hatuna tatizo, mambo mengine madogo madogo mno, mambo ya viatu, nguo, ngano, gesi ni madogo sana, mnatakiwa myatatue nyinyi yasifike kwetu, sisi huku tuko sawa sawa" amesema Dkt Magufuli, tamko ambalo limeungwa mkono na Rais Kenyatta. Mazungumzo hayo yamejiri baada ya kukutana nchini Uganda ambapo Rais Uhuru Kenyatta na Rais John Magufuli wamewaagiza mawaziri wao kuyatafutia ufumbuzi masuala yenye kero ndogo ndogo ambazo hujitokeza kwenye maeneo ya biashara kati ya nchi hizo. M

Shambulizi la al-Shabaab laua watu 18

Image
Magari mawili yenye mabomu yameripuka katika mji mkuu wa Somalia Ijumaa na kuuwa watu 18 na wengine 20 kujeruhiwa, idara ya huduma za ambulance imesema. Wakati huohuo kikundi cha al-Shabaab kimedai kuhusika na shambulizi hilo, shirika la habari la Reuters limeripoti. Wakati wa mlipuko huo kulikuwa na mashambulizi ya bunduki karibu na ikulu ya rais, idara hiyo imesema. “Mpaka sasa tumeipata miili 18 ya watu waliouwawa na wengine waliojeruhiwa kutoka katika eneo la shambulizi usiku huu,” Abdikadir Abdirahma, mkurugenzi wa huduma za ambulance za Amin ameiambia Reuters. Wingu kubwa la moshi lilitanda karibu na ikulu na mapambano ya kutupiana risasi yalizuka karibu na jumba hilo, mtu aliyekaririwa na Reuters amesema ameshuhudia hilo. Polisi na mashuhuda wa tukio hilo wamesema bomu la pili lililipuka kutoka katika gari ambalo lilikuwa limeegeshwa mbele ya hoteli mbali kidogo na ikulu ya rais. Polisi wamesema bomu la kwanza lililipuka baada ya washukiwa wa kikundi cha al

Watawala wanataka nchi yetu irudi kwenye chama kimoja

Image
Saa chache baada ya Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT- Wazalendo), Zitto Kabwe kuachiwa kwa dhamana, polisi imesema ilimkamata na kumuweka mahabusu kwa kuwa walifanya mkutano wa hadhara bila kuwa na kibali. Wakati polisi ikieleza hayo, baada ya kuachiwa Zitto ameeleza aliyoyakuta mahabusu jambo lililomlazimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei kutoa ufafanuzi. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Februari 23, 2018 Kamanda Matei amesema Zitto alikamatwa jana, Februari 22 saa 11 jioni katika Kijiji cha Mhale, Wilaya ya Mvomero akiwa anafanya mkutano wa hadhara. Kamanda Matei amesema Zitto anashtakiwa kwa kifungu 74 na 75 vya kanuni ya adhabu kwa kufanya mkutano bila kibali. Kamanda huyo amesema awali Zitto alikuwa akifanya mkutano wa ndani, lakini baadaye wananchi walijaa nje na ndipo alipotoka kuwahutubia. Zitto ameachiwa kwa dhamana na kutakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi cha mkoani Morogoro, Machi 12, 2018. Hata hivyo, Zitto akizungumza na waandishi w

Umoja wa Ulaya watoa tamko mauaji, utekaji nchini

Image
Umoja wa Ulaya (EU) umetoa tamko kuhusu matukio ya utekaji na mauaji yanayotokea nchini, ukiitaka Serikali kufanya uchunguzi wa kina. Taarifa ya umoja huo uliyotolewa leo Februari 23, 2018 inaeleza kuwa imetolewa na ushirikiano wa mabalozi wa nchi wanachama wa umoja huo wenye uwakilishi Tanzania na kuungwa mkono na mwakilishi na mabalozi wa Norway, Canada na Uswisi. Yasema matukio hayo yanatishia nidhamu ya kidemokrasia na haki za Watanzania. “Tunashuhudia kwa wasiwasi mwendelezo wa matukio ya hivi karibuni yanayotishia nidhamu ya kidemokrasia na haki za Watanzania, katika nchi iliyojizolea umaarufu mkubwa duniani kwa utulivu, amani na uhuru.” “Tumesikitishwa na kifo cha mwanafunzi aliyepigwa risasi mwisho wa juma lililopita Akwilina Akwilini, anayeombolezwa nchi nzima. Tunakaribisha wito wa Rais John Magufuli wa uchunguzi wa haraka,” inaeleza taarifa hiyo. Katika taarifa hiyo EU imetoa wito wa uchunguzi wa kina kwa vifo vyote vya wanaharakati wa kisiasa na haki za binadamu.