Posts

Audio | Luludiva Ft. Barnaba – Milele | Mp3 Download

Image
Audio | Luludiva Ft. Barnaba – Milele | Mp3 Download

Msafara wa Makamu wa Rais Samia Suluhu wapata ajali Mtwara

Image
​Msafara wa makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan ambao ulikuwa unaelekea wilayani Tandahimba ukitokea ikulu ndogo ya rais Mtwara umepata ajali na kusababisha majeruhi  ambao wamekimbizwa hospitali ya rufaa Ligula kwa matibabu. moja kupinduka kabisa na kusababisha majeruhi. . . Majeruhi wa Ajali hiyo wakipatiwa Huduma ya kwanza kabla ya kupelekwa Hospitali ya Ligula. (Picha kwa hisani ya mtandao) . Ajali hiyo imetokea mbele kidogo ya kijiji cha Nanguruwe kilichopo halmashauri ya wilaya ya Mtwara Majeruhi walioumia ni dereva  pamoja na wasaidizi wanne wa Makamu wa Rais. Awali kabla ya gari hilo lililobeba wasaidizi wa wa Makamu wa Rais kuacha njia na kupinduka, gari jingine lililokuwa limebeba waandishi wa habari wa channel ten, startv na clouds tv liliacha njia na nusura kupinduka. Gari lililopata ajali likiwa limeharibika vibaya. Barabara ya kutoka mtwara kuelekea Tandahimba si ya kiwango cha kuridhish...

Ujumbe alioupokea Rais Magufuli kutoka kwa Rais Salva Kiir na Rais Nkurunziza

Image
Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini Salva Kiir Mayardit amemtumia ujumbe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akimuarifu kuwa hali ya usalama katika nchi hiyo imeanza kutengemaa. Rais Salva Kiir Mayardit amewasilisha ujumbe huo kupitia kwa Mjumbe wake Maalum Aggrey Tisa Sabuni ambaye pamoja na kuwasilisha ujumbe huo amesema Sudani Kusini imekamilisha nyaraka za azimio la kuridhia mkataba wa kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki ambao umewasilishwa jana tarehe 05 Septemba, 2016 katika makao makuu ya Jumuiya Jijini Arusha. Aggrey Tisa Sabuni amesema Sudan Kusini ipo tayari kushirikiana na nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika masuala mbalimbali yenye manufaa kwa wananchi ikiwemo biashara na uwekezaji na kwamba ni matumaini yake kuwa itapata ushirikiano mzuri. Kwa upande wake Rais Magufuli ameelezea kufurahishwa kwake na taarifa za kutengemaa kwa hali ya amani nchini humo na kwamba ...

Awilo Longomba (Official Video) – Kwanga Pamba | Mp4 Download

Image
Awilo Longomba (Official Video) – Kwanga Pamba | Mp4 Download

AUDIO | MIRIAM PAUL - HAPO MWANZO | Mp3 Download

Image
AUDIO | MIRIAM PAUL - HAPO MWANZO | Mp3 Download

A.M ft Olamide (Official Video) – Ojaju | Mp4 Download

Image
A.M ft Olamide (Official Video) – Ojaju | Mp4 Download

AUDIO | IKUPA MWAMBeNJA - ADONAI | Mp3 Download

Image
AUDIO | IKUPA MWAMBeNJA - ADONAI | Mp3 Download