Popular posts from this blog
DOWNLOAD NA USIKILIZE NYIMBO ZA KWARESIMA
NYIMBO ZA KWARESIMA Zifuatazo ni nyimbo mbalimbali za kwaresima, unaweza kusikiliza na kudownload, bonyeza wimbo unaoutaka na moja kwa moja ukurasa mpya utafunguka utakao kuwezesha kusikiliza nyimbo hiyo, na juu kabisa kutakua na alama inayokuonesha kudownload bonyeza alama hii ipo juu kabisa. . Ukipata tatizo jaribu kubadilisha browser unayotumia kudownload. Karibu ASIREGEE MOYOWE BWANA KAMA WEWE UNGEHESABU MAOVU YETU BWANA NI KINGA NA NGAO YANGU EE BWANA USIKIE KABILA LANGU KRISTO ALIJINYENYEKEZA KRITO AMEKUA MTII KWA ISHARA YA MSALABA KWA NINI WASIMAMA MBALI LAUMU IMEUVUNJA MATESO YAKO MSALABANI MTAZAME MWOKOZI MUNGU WANGU MUNGU WANGU MBONA UMENIACHA NIMEKUKIMBILIA PASIPO MAKOSA TUKOMBOE TUMEKOSA KWELI WAKUPELEKA HUKUMUNI YESU WANGU YESU AKALIA KWA SAUTI KUU
Historia ya Kanisa Katoliki duniani
Kanisa Katoliki likiwa la zamani ( Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki wanashiriki sifa hiyo) na kubwa kuliko madhehebu yote ya Ukristo , historia yake inashika sehemu muhimu ya historia ya Kanisa lote duniani tangu lilipoanza mwaka 30 hivi BK hadi leo. Baada ya Yesu Kristo kuhubiri na kukusanya wafuasi kati ya Wayahudi wa karne ya 1 , hao walitumwa naye duniani kote, hasa wanaume 12 aliowaita Mitume , yaani "waliotumwa". Waandamizi wao katika uongozi wa Kanisa walianza kuitwa maaskofu , na kati yao yule wa Roma alizidi kushika nafasi ya pekee kwa sababu Mtume Petro alifia dini katika mji huo kutokana na dhuluma dhidi ya Ukristo ambayo ilianzishwa na Kaisari Nero ( mwaka 64 ) na kuendelea kwa kwikwi hadi ilipoko...
























Comments
Post a Comment