Posts

Historia ya Kanisa Katoliki duniani

Image
Kanisa Katoliki  likiwa la zamani ( Waorthodoksi  na  Waorthodoksi wa Mashariki  wanashiriki sifa hiyo) na kubwa kuliko  madhehebu  yote ya  Ukristo ,  historia  yake inashika sehemu muhimu ya  historia ya Kanisa  lote  duniani  tangu lilipoanza  mwaka   30  hivi  BK  hadi leo. Baada ya  Yesu Kristo  kuhubiri na kukusanya wafuasi kati ya  Wayahudi  wa  karne ya 1 , hao walitumwa naye duniani kote, hasa  wanaume  12 aliowaita  Mitume , yaani "waliotumwa". Waandamizi wao katika  uongozi  wa  Kanisa  walianza kuitwa  maaskofu , na kati yao yule wa  Roma  alizidi kushika  nafasi ya pekee kwa sababu  Mtume Petro   alifia dini  katika  mji  huo kutokana na  dhuluma  dhidi ya Ukristo ambayo ilianzishwa na  Kaisari Nero ( mwaka   64 ) na kuendelea kwa kwikwi hadi ilipokomeshwa na  Kaisari   Konstantino Mkuu  aliyetangaza huko  Milano   uhuru wa dini kwa wananchi wote ( 313 ). Dhuluma haikufaulu kuzuia uenezi wa  dini  hiyo mpya katika  dola la Roma . Mwishoni mwa  ka

Ni nani ambae ni Mrithi wa Mtakatifu Petro?

Image
MNAMO 2002, Papa Yohana Paulo wa Pili alimwandikia barua askofu wa Limburg, huko Ujerumani, akifutilia mbali uamuzi uliofanywa na askofu huyo kuhusu suala la kutoa mimba. Papa alianza kutoa maagizo yake kwa kusema kwamba anawajibu wa kuhakikisha kuwa “makanisa yote yako katika hali njema na yana umoja kulingana na mapenzi ya Yesu Kristo.” Alidai kuwa ana mamlaka ya kufutilia mbali uamuzi uliofanywa na askofu huyo kwa sababu akiwa papa, yeye ndiye “mrithi wa Mtakatifu Petro.” Kulingana na tafsiri fulani ya Kanisa Katoliki, “Kristo alimweka rasmi Mt. Petro kuwa mkuu wa mitume wote.” Kanisa Katoliki linaendelea kudai kwamba “Kristo alisema kwamba Petro anapaswa kuwa na watu watakaomrithi katika cheo hicho; na kwamba maaskofu Waroma ndio warithi wake.”— New Catholic Encyclopedia  (2003), Buku la 11, ukurasa wa 495-496. Hayo ni madai mazito. Je, wewe mwenyewe umewahi kuchunguza ukweli wa madai hayo? Ona majibu ya maswali haya matatu: (1) Je, Biblia inaunga mkono dai la kwamba Pet

Habari kubwa za Magazeti ya TZ leo February 10 2018 Dini, Michezo na Hardnews

Image
liyoandikwa

French Muslim singer quits TV show amid row over online posts

Image
A Muslim singer who became an internet sensation following her performance on France's The Voice has quit the TV show after being criticised for comments she had made on social media. In one post, Mennel Ibtissem, 22, had expressed doubts about the terrorist nature of the 2016 Nice lorry attack. She said the message from the day after the attack was taken out of context. A video of her singing Leonard Cohen's Hallelujah had gone viral, being watched 900,000 times on YouTube. The social media comments, which have now been deleted, emerged after her acclaimed performance on the programme.

Alexis Sanchez ahukumiwa kifungo cha miezi 16 jela

Image
Mchezaji mpya wa klabu ya Manchester United Alexis Sanchez amehukumiwa jela miezi 16 kutokana na kosa la kukwepa kulipa kodi. Hukumu hiyo imetolewa jana ,Sanchez anadaiwa kukwepa kulipa kodi wakati alipokuwa nchini Uhispania ambapo mamlaka nchini humo zinasema anadaiwa kiasi cha pauni laki tisa. Kwa mujibu wa sheria za Hispania, hukumu ya kosa hilo haizidi miaka miwili jela, lakini badala yake kulipa pauni 525,000 kutokana na kosa ambalo alilifanya miaka mitatu alipokuwa akichezea klabu ya Barcelona. Hukumu ya Sanchez imekuja katika kipindi ambacho bado mamlaka za mapato nchini Hispania zinafanya uchunguzi kuhusu kocha Jose Mourinho anaye tajwa 

Magaidi wawili hatari wa IS wakamatwa

Image
Taarifa zinasema kuwa raia wawili wa Uingereza wanaodhaniwa kuwa wanachama wa kikundi cha wapiganaji wa Kiislam cha IS wanashikiliwa na kundi la wapigaji wa Kikurd. Alexanda Kotey mwenye umri wa miaka 34 na mwenzake El Shafee Elsheikh mwenye miaka 29 ni miongoni mwa vijana wawili waliokuwa wanasakwa kati ya wenzao ambao walikwisha kukamatwa. Kundi hili la vijana wanne kutoka raia wa Uingereza ndani ya kundi la IS walikuwa ni kundi hatari linalofahamika kama Beatles hiyo ikiwa ni kutokana na lafudhi yao wanapozungumza. Maofisa wa Marekani wamesema kuwa kundi hilo lililokuwa likihusika na utoaji mateso pamoja na kuua ndani ya IS linadaiwa kuwachinja Zaidi ya watu 27 mateka kutoka nchi za kimagharibi na kutoa mateso makali kwa wengine wengi tu. Beatles ni akina nani hasa? Hawa ni kundi hatari kwaajili ya mauaji na mateso,ambalo lilikuwa linajumuisha watu kama Mohammed Emwazi almaarufu kama Jihadi John ambaye alikuwa akionekana katika picha za video akiwa anachinja watu.Ali