Posts

Colombia: President Santos grants Farc members amnesty

Image
    More than 7,000 Farc rebels are being reintegrated into Colombian society  Colombia's President Juan Manuel Santos has signed a decree granting amnesty to another 3,600 members  of the Farc rebel group, which last year reached a peace deal with the government. It is the third and final amnesty decree signed by Mr Santos. More than 7,000 rebels in total have been granted amnesty or released from prison as part of their reintegration into Colombian society. Last month the Farc completed its disarmament process. The rebels handed all its 7,000 registered weapons to the United Nations mission in Colombia. Earlier on Monday, the United Nations Security Council voted to set up a new mission in the country, which from September will oversee the implementation of the peace deal. The move puts an end to more than five decades of conflict. The Marxist rebel group was found in 1964 to defend the rights of landless peasants. It entered formal peace negotiations wi

Mississippi crash: Sixteen dead in Marines Corps plane incident

Image
  Images from the scene showed smoke and flames pouring from the plane wreckage At least 16 people have died after a US military plane crashed in the southern state of Mississippi at around 16:00 local time (21:00 GMT) on Monday. The crash happened in LeFlore County, about 100 miles (160km) north of Jackson, the state capital. All 16 victims were on the Marine Corps aircraft and there were no survivors, Leflore County emergency management director Fred Randle said. Mississippi Governor Phil Bryant said the incident was a "tragedy". "Our men and women in uniform risk themselves every day to secure our freedom," he said. No official details were immediately available on the circumstances of the crash. Captain Sarah Burns, a spokeswoman for the Marine Corps, said only that a US Marines KC-130 Hercules transport aircraft had "experienced a mishap". \

Chanjo ya ugonjwa wa gonorrhoea yapatikana

Image
    Gonorrhoea imekuwa taabu kutibika kwa sababu imezoea antibiotic Wanasayansi nchini New Zealand wameonyesha kwa mara ya kwanza kwamba chanjo inaweza kutoa kinga dhidi ya ugonjwa wa gonorrhoea. Watafiti kutoka chuo kikuu cha Auckland wamegundua kuwa maambukizi ya ugonjwa huo wa zinaa yameshuka kwa takriban theluthi moja miongoni mwa watu ambao walipata chanjo dhidi ya homa ya manjano. Watafiti hao wamefuatilia kutoka kwa vijana milioni moja waliopata chanjo hiyo pindi kulipotokea ugonjwa wa homa ya manjano nchini New Zealand.  Gonorrhoea imekuwa taabu kutibika kwa sababu imezoea antibiotic.

Diego Costa apewa muda zaidi kupumzika Chelsea

Image
  Costa alifungia Chelsea mechi yao ya mwisho, fainali Kombe la FA walipolazwa na Arsenal    Mshambuliaji Diego Costa amepewa muda zaidi wa kumpumzika na Chelsea, hatua iliyozidisha uwezekano kwamba huenda akaihama klabu hiyo majira haya ya joto. Mhispania huyo wa miaka 28 amehusishwa na kuhaam klabu hiyo baada ya kufahamishwa na meneja Antonio Conte kwamba hayupo kwenye mipango yake. Costa hakujiunga na wenzake kwa mazoezi Jumatatu. "Iliafikiwa kati yake na klabu kwamba anafaa kuchukua siku zaidi kupumzika," taarifa kwenye klabu hiyo ilisema. Costa anatarajiwa kutohudhuria mazoezi wiki hii. Mshambuliaji huyo alikuwa mchezaji pekee ambaye hakufika uwanja wa mazoezi wa Chelsea Cobham kando na Antonio Rudiger, ambaye alijiunga na klabu hiyo Jumapili. Costa aliwajulisha wanahabari kwamba Conte alikuwa amemwandikia ujumbe wa simu kwamba hakuwa kwenye mipango yake mwezi jana, na inaarifiwa kwamba msimamo wake haujabadilika. Du

Mwanamke aikojolea bendera ya Marekani

Image
    Emily Lance alitengeza video akiikojolea bendera ya Marekani Mwanamke aliyesambaza kanda yake ya video akiikojolea bendera ya Marekani ametoa wito kwa watu kutoilenga familia yake akisema hawaungi mkono tendo lake. Emily Lance alipokea vitisho vya mauaji katika mtandao wa kijamii na ubakaji baada ya kuchapisha kanda hiyo ya video siku ya uhuru wa taifa hilo. Akaunti yake haiko tena katika mtandao wake wa facebook lakini awali alikuwa amechapisha kwamba babake na eneo analofanya kazi pia limelengwa, kulingana na ripoti. Kutoheshimu bendera ya Marekani sio kinyume cha sheria kutokana na sheria nyingi na uhuru wa kujieleza. Katika kanda hiyo ya video, Bi Lance anaonekana akisimama juu ya choo ambapo bendera ya Marekani imewekwa na kuikojolea kupitia usaidizi wa chombo ambacho kinawasaidai wanawake kufanya hivyo wakiwa wamesimama. Chini yake aliandika maneneo ya kuitusi bendera hiyo. Baadaye aliwataka wanaopinga wazo lake kutowalenga watu wasio na

Boni: Kenya yaanza kuangusha mabomu ‘msitu wa al-Shabab’

Image
    Bw Marwa (kati) amewataka raia kutii amri ya kuuhama msitu huo  Kenya imetangaza kwamba imeanza kutekeleza mashambulio ya kutoka angani katika msitu wa Boni karibu na mpaka wa nchi hiyo na Somalia. Wenyeji wanaoishi msituni wanahamishwa hadi kwenye kambi zilizotengwa na serikali kabla ya mabomu kurushwa. Wanamgambo wa al-Shabaab wanadaiwa kugeuza msitu huo kuwa makao na ngome yao. Wanamgambo hao wanadaiwa kutumia msitu huo kutekeleza mashambulio katika maeneo ya karibu. Wiki iliyopita, watu 9 waliuawa kwa kukatwa shingo na wapiganaji hao katika kijiji cha Pandanguo kilicho karibu na msitu huo katika kaunti ya Lamu. Jumamosi, serikali ilirejesha tena amri ya kutotoka nje usiku katika maeneo ya pwani na kaskazini mashariki mwa Kenya ambayo yameshuhudia mashambulio ya kigaidi kutoka kwa al-Shabab. Mwandishi wa BBC Ferdinand Omondi anasema wanajeshi wa Kenya wamejaribu kuwafurusha wanamgambo hao kutoka msitu wa Boni kwa miaka miwili bila mafanikio. Kamishna wa k

Antonio Rudiger: Chelsea wamnunua beki kutoka Ujerumani

Image
  Antonio Rudiger alisaidia Ujerumani kushinda Kombe la Mabara mwaka 2017 nchini Urusi  Mabingwa wa Ligi Kuu ya England Chelsea wamemnunua beki Mjerumani Antonio Rudiger kutoka klabu ya AS Roma kwa mkataba wa miaka mitano kwa £29m. Rudiger, 24, alikamilisha uhamisho wake wiki moja baada ya kusaidia mabingwa wa dunia Ujerumani kushinda Kombe la Mabara. "Ni jambo linalonifurahisha sana kwa sababu si kila mchezaji anayepata fursa ya kujiunga na klabu kubwa kama hii," alisema Rudiger. Ada waliyolipa Chelsea inaweza ikapanda na kufikia £33.3m ukiongeza vikolezo vilivyo kwenye mkataba wake. "Antonio bado ana umri mdogo lakini ana uzoefu katika ngazi ya klabu na kimataifa na ana sifa zote ambazo zinahitajika kufana katika Ligi ya Premia," mkurugenzi wa kiufundi wa Chelsea Michael Emenalo alisema. "Ni mchezaji ambaye uwezo wake umethibitishwa." Rudiger atavalia jezi nambari mbili ambayo iliachwa wazi baada ya Branislav Ivanovic k